Ar-Rahman 55:27 ويبقى وجه ربك ذو الجلال والاكرام ٢٧
وَيَبۡقَىٰ
وَجۡهُ
رَبِّكَ
ذُو
ٱلۡجَلَٰلِ
وَٱلۡإِكۡرَامِ
٢٧
Na atabakia Mwenyewe Mola wako Mlezi Mwenye utukufu na ukarimu.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na utasalia uso wa Mola wako Mwenye utukufu, ubora, kheri nyingi na upaji. Katika aya hii pana kuthibitisha sifa ya uso kwa Mwenyezi Mungu kwa namna inavyonasibiana na Yeye, kutakasika ni Kwake, bila kufananisha wala kueleza namna ulivyo.
na utasalia uso wa Mola wako Mwenye utukufu, ubora, kheri nyingi na upaji. Katika aya hii pana kuthibitisha sifa ya uso kwa Mwenyezi Mungu kwa namna i…