Ar-Rahman 55:37 فاذا انشقت السماء فكانت وردة كالدهان ٣٧
فَإِذَا
ٱنشَقَّتِ
ٱلسَّمَآءُ
فَكَانَتۡ
وَرۡدَةٗ
كَٱلدِّهَانِ
٣٧
Itakapo pasuka mbingu ikawa nyekundu kama mafuta.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na pindi mbingu itakapopasuka na kuachana Siku ya Kiyama, ikawa nyekundu kama rangi ya waridi na kama mafuta yaliyochemshwa na risasi iliyoyayushwa, kutokana na mambo magumu na vituko vya Siku ya Kiyama.
Na pindi mbingu itakapopasuka na kuachana Siku ya Kiyama, ikawa nyekundu kama rangi ya waridi na kama mafuta yaliyochemshwa na risasi iliyoyayushwa, k…