Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
055

Ar-Rahman 55:50 فيهما عينان تجريان ٥٠

55:50
فِيهِمَا
عَيۡنَانِ
تَجۡرِيَانِ
٥٠
Ndani yake zimo chemchem mbili zinazo pita.
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Katika Pepo mbili hizo kuna chemchemi mbili za maji zinazopita katikati yake.
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 55, Ukurasa 533, Juzuu 27

46. Na mwenye kuogopa kusimamishwa mbele ya Mola wake Mlezi atapata Bustani mbili. 47. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha? 48. Bustani zenye matawi yaliyo tanda. 49. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha? 50. Ndani yake zimo chemchem mbili zinazo pita. 51. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha? 52. Humo katika kila matunda zimo namna mbili. 53. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha? 54. Wawe wameegemea matandiko yenye bit'ana ya hariri nzito; na matunda ya Bustani hizo yapo karibu. 55. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha? 56. Humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla yao wala jini. 57. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha? 58. Kama kwamba wao ni yakuti na marijani. 59. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha. 60. Ati yaweza kuwa malipo ya ihsani ila ihsani? 61. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia