Ar-Rahman 55:56 فيهن قاصرات الطرف لم يطمثهن انس قبلهم ولا جان ٥٦
فِيهِنَّ
قَٰصِرَٰتُ
ٱلطَّرۡفِ
لَمۡ
يَطۡمِثۡهُنَّ
إِنسٞ
قَبۡلَهُمۡ
وَلَا
جَآنّٞ
٥٦
Humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla yao wala jini.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Katika matandiko hayo wapo wake macho yao yanawatazama waume zao tu, hawawatazami wengineo, wamefungamana na wao. Hakuna aliyewaingilia, kabla ya hao waume zao, binadamu yoyote wala jini.
Katika matandiko hayo wapo wake macho yao yanawatazama waume zao tu, hawawatazami wengineo, wamefungamana na wao. Hakuna aliyewaingilia, kabla ya hao …