As-Saaffat 37:1 والصافات صفا ١
وَٱلصَّٰٓفَّٰتِ
صَفّٗا
١
Naapa kwa wanao jipanga kwa safu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Anaapa kwa Malaika wanaojipanga, katika kuabudu kwao, mistari iliyofuatana na kushikana,