As-Saaffat 37:103 فلما اسلما وتله للجبين ١٠٣
فَلَمَّآ
أَسۡلَمَا
وَتَلَّهُۥ
لِلۡجَبِينِ
١٠٣
Basi wote wawili walipo jisalimisha, na akamlaza juu ya kipaji. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Walipojisalimisha wao wawili kwa kuifuata amri ya Mwenyezi Mungu na kuiandama, na Ibrāhīm akambwaga Ismā'īl chini, kwa upande wa paji la uso, ili kumchinja.
Walipojisalimisha wao wawili kwa kuifuata amri ya Mwenyezi Mungu na kuiandama, na Ibrāhīm akambwaga Ismā'īl chini, kwa upande wa paji la uso, ili kumc…