As-Saaffat 37:106 ان هاذا لهو البلاء المبين ١٠٦
إِنَّ
هَٰذَا
لَهُوَ
ٱلۡبَلَٰٓؤُاْ
ٱلۡمُبِينُ
١٠٦
Hakika haya ni majaribio yaliyo dhaahiri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika amri ya kuwa wewe umuue mwano ndio mtihani mgumu uliodhihirisha ukweli wa Imani yako.