As-Saaffat 37:107 وفديناه بذبح عظيم ١٠٧
وَفَدَيۡنَٰهُ
بِذِبۡحٍ
عَظِيمٖ
١٠٧
Basi tukamtolea fidia kwa dhabihu mtukufu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tukamuokoa Ismā'īl, na tukamuekea kondoo mkubwa kuwa ni badala yake.