As-Saaffat 37:110 كذالك نجزي المحسنين ١١٠
كَذَٰلِكَ
نَجۡزِي
ٱلۡمُحۡسِنِينَ
١١٠
Hivi ndivyo tunavyo walipa wanao fanya mema. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kama tulivyomlipa malipo mema Ibrāhīm kwa utiifu wake kwetu na kufuata kwake amri yetu, ndivyo tutakavyowalipa wenye kufanya wema miongoni mwa waja wetu.
Kama tulivyomlipa malipo mema Ibrāhīm kwa utiifu wake kwetu na kufuata kwake amri yetu, ndivyo tutakavyowalipa wenye kufanya wema miongoni mwa waja we…