As-Saaffat 37:114 ولقد مننا على موسى وهارون ١١٤
وَلَقَدۡ
مَنَنَّا
عَلَىٰ
مُوسَىٰ
وَهَٰرُونَ
١١٤
Na kwa hakika tuliwafanyia hisani Musa na Haruni. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwa hakika tuliwafanyia wema Mūsā na Hārūn kwa kuwapa unabii na utume.