As-Saaffat 37:115 ونجيناهما وقومهما من الكرب العظيم ١١٥
وَنَجَّيۡنَٰهُمَا
وَقَوۡمَهُمَا
مِنَ
ٱلۡكَرۡبِ
ٱلۡعَظِيمِ
١١٥
Na tukawaokoa wao na watu wao kutokana na dhiki kubwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tukawaokoa wao wawili na watu wao kutokana na gharika, utumwa na unyonge waliokuwa nao.