As-Saaffat 37:116 ونصرناهم فكانوا هم الغالبين ١١٦
وَنَصَرۡنَٰهُمۡ
فَكَانُواْ
هُمُ
ٱلۡغَٰلِبِينَ
١١٦
Na tukawanusuru; na wakawa wao ndio wenye kushinda. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tukawanusuru, wakawa na enzi, usaidizi na ushindi juu ya Fir'awn na jamaa zake.