Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
037

As-Saaffat 37:118 وهديناهما الصراط المستقيم ١١٨

37:118
وَهَدَيۡنَٰهُمَا
ٱلصِّرَٰطَ
ٱلۡمُسۡتَقِيمَ
١١٨
Na tukawaongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka. 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

na tukawaongoza njia iliyonyoka isiyokuwa na upotovu, nayo ni Uislamu, Dini ya Mwenyezi Mungu ambayo Amewatumiliza Manabii Wake kwayo,
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 37, Ukurasa 450, Juzuu 23

114. Na kwa hakika tuliwafanyia hisani Musa na Haruni. 115. Na tukawaokoa wao na watu wao kutokana na dhiki kubwa. 116. Na tukawanusuru; na wakawa wao ndio wenye kushinda. 117. Na tukawapa wawili hao Kitabu kinacho bainisha. 118. Na tukawaongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka. 119. Na tukawaongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka. 120. Iwe salama kwa Musa na Haruni!. 121. Hakika hivyo ndivyo tunavyo walipa walio wema. 122. Hakika wawili hao ni katika waja wetu walio amini.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia