As-Saaffat 37:123 وان الياس لمن المرسلين ١٢٣
وَإِنَّ
إِلۡيَاسَ
لَمِنَ
ٱلۡمُرۡسَلِينَ
١٢٣
Na hakika Ilyas bila ya shaka alikuwa miongoni mwa Mitume. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na hakika mja wetu Ilyas ni miongoni mwa wale ambao tuliwakirimu kwa unabii na utume.