As-Saaffat 37:127 فكذبوه فانهم لمحضرون ١٢٧
فَكَذَّبُوهُ
فَإِنَّهُمۡ
لَمُحۡضَرُونَ
١٢٧
Wakamkadhibisha. Basi kwa hakika watahudhurishwa;. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Watu wa Ilyas walimkanusha Nabii wao. Basi Mwenyezi Mungu , kwa hakika, Atawakusanya Siku ya Kiyama ili wahesabiwe na wateswe.