As-Saaffat 37:13 واذا ذكروا لا يذكرون ١٣
وَإِذَا
ذُكِّرُواْ
لَا
يَذۡكُرُونَ
١٣
Na wanapo kumbushwa hawakumbuki. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wanapokumbushwa walichokisahau au walichoghafilika nacho, hawanufaiki kwa huo ukumbusho wala hawazingatii.