Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: As-Saaffat 37:131

37:131
انا كذالك نجزي المحسنين ١٣١
إِنَّا كَذَٰلِكَ نَجْزِى ٱلْمُحْسِنِينَ ١٣١
إِنَّا
كَذَٰلِكَ
نَجۡزِي
ٱلۡمُحۡسِنِينَ
١٣١
Hakika hivyo ndivyo tunavyo walipa walio wema. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na kama tulivyomlipa Ilyas malipo mema kwa utiifu wake, ndivyo tutakavyowalipa walio wema miongoni mwa waja wetu Waumini.