As-Saaffat 37:132 انه من عبادنا المومنين ١٣٢
إِنَّهُۥ
مِنۡ
عِبَادِنَا
ٱلۡمُؤۡمِنِينَ
١٣٢
Hakika yeye ni katika waja wetu walio amini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika yake yeye ni miongoni mwa waja wa Mwenyezi Mungu waliomtakasia wenye kufuata amri zake kivitendo.