As-Saaffat 37:135 الا عجوزا في الغابرين ١٣٥
إِلَّا
عَجُوزٗا
فِي
ٱلۡغَٰبِرِينَ
١٣٥
Isipo kuwa mwanamke mkongwe katika wale walio bakia nyuma. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
isipokuwa mkongwe aliyezeeka, naye ni mke wake, ambaye aliangamia pamoja na wale walioangamia miongoni mwa watu wake kwa ukafiri wake.