Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
037

As-Saaffat 37:140 اذ ابق الى الفلك المشحون ١٤٠

37:140
إِذۡ
أَبَقَ
إِلَى
ٱلۡفُلۡكِ
ٱلۡمَشۡحُونِ
١٤٠
Alipo kimbia katika jahazi lilio sheheni. 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Alipokimbia kutoka mji wake, akiwa na hasira juu ya watu wake, akapanda jahazi iliyojaa abiria na vyombo.
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 37, Ukurasa 451, Juzuu 23

139. Na hakika Yunus alikuwa miongoni mwa Mitume. 140. Alipo kimbia katika jahazi lilio sheheni. 141. Akaingia katika kupigiwa kura, na akawa katika walio shindwa. 142. Samaki akammeza hali ya kuwa ni mwenye kulaumiwa. 143. Na ingeli kuwa hakuwa katika wanao mtakasa Mwenyezi Mungu,. 144. Bila ya shaka angeli kaa ndani yake mpaka siku ya kufufuliwa. 145. Lakini tulimtupa ufukweni patupu, hali yu mgonjwa. 146. Na tukauotesha juu yake mmea wa kabila ya mung'unye. 147. Na tulimtuma kwa watu laki moja au zaidi. 148. Basi wakaamini, na tukawastarehesha kwa muda.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia