Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: As-Saaffat 37:143

37:143
فلولا انه كان من المسبحين ١٤٣
فَلَوْلَآ أَنَّهُۥ كَانَ مِنَ ٱلْمُسَبِّحِينَ ١٤٣
فَلَوۡلَآ
أَنَّهُۥ
كَانَ
مِنَ
ٱلۡمُسَبِّحِينَ
١٤٣
Na ingeli kuwa hakuwa katika wanao mtakasa Mwenyezi Mungu,. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Lau si yale yaliyotangulia kwake, ya wingi wa Ibada na matendo mema kabla ya kuingia ndani ya tumbo la chewa kwa kusema, «Hapana Mola anayepasa kuabudiwa kwa haki isipokuwa wewe, kutakasika na sifa za upungufu ni kwako, mimi nimekuwa miongoni mwa wenye kudhulumu,»