As-Saaffat 37:145 ۞ فنبذناه بالعراء وهو سقيم ١٤٥
۞ فَنَبَذۡنَٰهُ
بِٱلۡعَرَآءِ
وَهُوَ
سَقِيمٞ
١٤٥
Lakini tulimtupa ufukweni patupu, hali yu mgonjwa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Tukamtoa kwenye tumbo la chewa na tukamtupa kwenye ardhi tupu, isiyokuwa na miti wala majengo, akiwa dhaifu wa mwili.