As-Saaffat 37:147 وارسلناه الى ماية الف او يزيدون ١٤٧
وَأَرۡسَلۡنَٰهُ
إِلَىٰ
مِاْئَةِ
أَلۡفٍ
أَوۡ
يَزِيدُونَ
١٤٧
Na tulimtuma kwa watu laki moja au zaidi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Tukamtumiliza aende kwa watu wake wanaofikia elfu mia moja, bali wanazidi idadi hiyo.