As-Saaffat 37:148 فامنوا فمتعناهم الى حين ١٤٨
فَـَٔامَنُواْ
فَمَتَّعۡنَٰهُمۡ
إِلَىٰ
حِينٖ
١٤٨
Basi wakaamini, na tukawastarehesha kwa muda. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wakamuamini na wakafuata aliyokuja nayo kivitendo, na kwa hivyo tukawastarehesha maishani mwao mpaka wakati wa kufika ajali zao.