As-Saaffat 37:15 وقالوا ان هاذا الا سحر مبين ١٥
وَقَالُوٓاْ
إِنۡ
هَٰذَآ
إِلَّا
سِحۡرٞ
مُّبِينٌ
١٥
Na husema: Haya si chochote ila ni uchawi tu ulio dhaahiri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wanasema, «Halikuwa hili ulilotuletea isipokuwa ni uchawi uliojitokeza waziwazi.