As-Saaffat 37:16 ااذا متنا وكنا ترابا وعظاما اانا لمبعوثون ١٦
أَءِذَا
مِتۡنَا
وَكُنَّا
تُرَابٗا
وَعِظَٰمًا
أَءِنَّا
لَمَبۡعُوثُونَ
١٦
Ati tukisha kufa na tukawa udongo na mifupa ndio kweli tutafufuliwa? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Je, tunapokufa na tukawa ni mchanga na mifupa iliyochakaa, je sisi ni wenye kufufuliwa kutoka makaburini mwetu tukiwa hai?