As-Saaffat 37:165 وانا لنحن الصافون ١٦٥
وَإِنَّا
لَنَحۡنُ
ٱلصَّآفُّونَ
١٦٥
Na hakika bila ya shaka sisi ndio wajipangao safu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na sisi ndio tunaosimama kwa kujipanga kwa safu katika kumuabudu Mwenyezi Mungu na kumtii.