As-Saaffat 37:169 لكنا عباد الله المخلصين ١٦٩
لَكُنَّا
عِبَادَ
ٱللَّهِ
ٱلۡمُخۡلَصِينَ
١٦٩
Bila ya shaka tungeli kuwa ni waja wa Mwenyezi Mungu wenye ikhlasi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
tungalikuwa waja wa Mwenyezi Mungu wakweli katika Imani, waliotakaswa kwa kufanya Ibada.»