As-Saaffat 37:173 وان جندنا لهم الغالبون ١٧٣
وَإِنَّ
جُندَنَا
لَهُمُ
ٱلۡغَٰلِبُونَ
١٧٣
Na kwamba jeshi letu ndilo litakalo shinda. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na kwamba askari wetu wanaopigana jihadi katika njia yetu ndio wenye kuwashinda maadui zao kila mahali, kuzingatia mwishoni na marejeo.