As-Saaffat 37:22 ۞ احشروا الذين ظلموا وازواجهم وما كانوا يعبدون ٢٢
۞ ٱحۡشُرُواْ
ٱلَّذِينَ
ظَلَمُواْ
وَأَزۡوَٰجَهُمۡ
وَمَا
كَانُواْ
يَعۡبُدُونَ
٢٢
Wakusanyeni walio dhulumu, na wake zao, na hao walio kuwa wakiwaabudu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Malaika wataambiwa, «Wakusanyeni wale waliomkanusha Mwenyezi Mungu na wafananao na wao na waungu wao waliokuwa wakiwaabudu