As-Saaffat 37:26 بل هم اليوم مستسلمون ٢٦
بَلۡ
هُمُ
ٱلۡيَوۡمَ
مُسۡتَسۡلِمُونَ
٢٦
Bali hii leo, watasalimu amri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Bali wao Leo ni wenye kufuata amri ya Mwenyezi Mungu, hawataenda kinyume nayo wala hawataepukana nayo, hawajisaidii wao wenyewe.