Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: As-Saaffat 37:30

37:30
وما كان لنا عليكم من سلطان بل كنتم قوما طاغين ٣٠
وَمَا كَانَ لَنَا عَلَيْكُم مِّن سُلْطَـٰنٍۭ ۖ بَلْ كُنتُمْ قَوْمًۭا طَـٰغِينَ ٣٠
وَمَا
كَانَ
لَنَا
عَلَيۡكُم
مِّن
سُلۡطَٰنِۭۖ
بَلۡ
كُنتُمۡ
قَوۡمٗا
طَٰغِينَ
٣٠
Sisi hatukuwa na mamlaka juu yenu, bali nyinyi wenyewe mlikuwa wapotovu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
«Na sisi hatukuwa na hoja juu yenu wala nguvu, tukaweza kwa hizo kuwazuilia kuamini. Bali nyinyi wenyewe, enyi washirikina, mlikuwa waasi wenye kupita mipaka ya haki.