As-Saaffat 37:32 فاغويناكم انا كنا غاوين ٣٢
فَأَغۡوَيۡنَٰكُمۡ
إِنَّا
كُنَّا
غَٰوِينَ
٣٢
Tulikupotezeni kwa sababu sisi wenyewe tulikuwa wapotovu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
« Ndipo tukawapoteza na njia ya Mwenyezi Mungu na ya kumuamini, kwa kuwa sisi wenyewe tulikuwa ni wapotevu kabla yenu. Na kwa hivyo tukapotea kwa sababu ya ukafiri wetu na tukawaangamiza nyinyi pamoja na sisi.»
« Ndipo tukawapoteza na njia ya Mwenyezi Mungu na ya kumuamini, kwa kuwa sisi wenyewe tulikuwa ni wapotevu kabla yenu. Na kwa hivyo tukapotea kwa saba…