As-Saaffat 37:37 بل جاء بالحق وصدق المرسلين ٣٧
بَلۡ
جَآءَ
بِٱلۡحَقِّ
وَصَدَّقَ
ٱلۡمُرۡسَلِينَ
٣٧
Bali huyu amekuja kwa Haki, na amewasadikisha Mitume. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wamesema urongo! Muhammad sivyo vile walivyomueleza. Bali amekuja na Qur’ani na upwekeshaji Mwenyezi Mungu, na akathibitisha ukweli wa Mitume katika kile walichokitolea habari kuhusu sheria ya Mwenyezi Mungu na kumpwekesha Yeye.
Wamesema urongo! Muhammad sivyo vile walivyomueleza. Bali amekuja na Qur’ani na upwekeshaji Mwenyezi Mungu, na akathibitisha ukweli wa Mitume katika k…