As-Saaffat 37:38 انكم لذايقو العذاب الاليم ٣٨
إِنَّكُمۡ
لَذَآئِقُواْ
ٱلۡعَذَابِ
ٱلۡأَلِيمِ
٣٨
Hakika nyinyi bila ya shaka mtaionja adhabu chungu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika yenu nyinyi, enyi washirikina, kwa neno lenu, ukafiri wenu na kukanusha kwenu, ni wenye kuonja adhabu iliyo kali yenye uchungu.