As-Saaffat 37:48 وعندهم قاصرات الطرف عين ٤٨
وَعِندَهُمۡ
قَٰصِرَٰتُ
ٱلطَّرۡفِ
عِينٞ
٤٨
Na watakuwa nao wanawake wenye macho ya staha mazuri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na hapo kwao kwenye makao yao watakuwako wanawake waliojihifadhi, hawawatazami isipokuwa waume zao, wazuri wa macho,