As-Saaffat 37:51 قال قايل منهم اني كان لي قرين ٥١
قَالَ
قَآئِلٞ
مِّنۡهُمۡ
إِنِّي
كَانَ
لِي
قَرِينٞ
٥١
Aseme msemaji mmoja miongoni mwao: Hakika mimi nalikuwa na rafiki. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Atasema msemaji miongoni mwa watu wa Peponi, «Kwa kweli, nilikuwa na rafiki duniani aliyeshikana na mimi.