As-Saaffat 37:53 ااذا متنا وكنا ترابا وعظاما اانا لمدينون ٥٣
أَءِذَا
مِتۡنَا
وَكُنَّا
تُرَابٗا
وَعِظَٰمًا
أَءِنَّا
لَمَدِينُونَ
٥٣
Ati tukisha kufa tukawa udongo na mafupa, ndio tutalipwa na kuhisabiwa? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Je, tunapokufa, tukakatika vipande- vipande na tukawa mchanga na mifupa, kwani ni wenye kufufuliwa, kuhesabiwa na kulipwa kwa matendo yetu?’»