Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
037

As-Saaffat 37:55 فاطلع فراه في سواء الجحيم ٥٥

37:55
فَٱطَّلَعَ
فَرَءَاهُ
فِي
سَوَآءِ
ٱلۡجَحِيمِ
٥٥
Basi atachungulia amwone katikati ya Jahannamu. 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Hapo akachungulia na akamuona rafiki yake katikati ya Moto.
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 37, Ukurasa 448, Juzuu 23

40. Isipo kuwa waja wa Mwenyezi Mungu walio khitariwa. 41. Hao ndio watakao pata riziki maalumu, 42. Matunda, nao watahishimiwa. 43. Katika Bustani za neema. 44. Wako juu ya viti wamekabiliana. 45. Wanazungushiwa kikombe chenye kinywaji cha chemchem. 46. Kinywaji cheupe, kitamu kwa wanywao. 47. Hakina madhara, wala hakiwaleweshi. 48. Na watakuwa nao wanawake wenye macho ya staha mazuri. 49. Hao wanawake kama mayai yaliyo hifadhika. 50. Waingie kuulizana wenyewe kwa wenyewe. 51. Aseme msemaji mmoja miongoni mwao: Hakika mimi nalikuwa na rafiki. 52. Aliye kuwa akinambia: Hivyo wewe ni katika wanao sadiki. 53. Ati tukisha kufa tukawa udongo na mafupa, ndio tutalipwa na kuhisabiwa? 54. Atasema: Je! Nyie mnawaona? 55. Basi atachungulia amwone katikati ya Jahannamu. 56. Atasema: Wallahi! Ulikaribia kunipoteza. 57. Na lau kuwa si neema ya Mola wangu Mlezi bila ya shaka ningeli kuwa miongoni mwa walio hudhurishwa. 58. Je! Sisi hatutakufa, 59. Isipo kuwa kifo chetu cha kwanza? Wala sisi hatutaadhibiwa. 60. Hakika huku bila ya shaka ndiko kufuzu kukubwa. 61. Kwa mfano wa haya nawatende watendao.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia