As-Saaffat 37:61 لمثل هاذا فليعمل العاملون ٦١
لِمِثۡلِ
هَٰذَا
فَلۡيَعۡمَلِ
ٱلۡعَٰمِلُونَ
٦١
Kwa mfano wa haya nawatende watendao. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Basi kwa kupata mfano wa starehe hizi kamilifu, makazi ya daima na kufaulu kukubwa, na watende wenye kutenda duniani ili wazifikie huko Akhera.»