As-Saaffat 37:67 ثم ان لهم عليها لشوبا من حميم ٦٧
ثُمَّ
إِنَّ
لَهُمۡ
عَلَيۡهَا
لَشَوۡبٗا
مِّنۡ
حَمِيمٖ
٦٧
Kisha juu yake wanyweshwe mchanganyo wa maji yamoto yaliyo chemka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kisha wao, baada ya kuyala ni wenye kunywa kinywaji mchanganyiko kilicho kibaya na kilicho moto.