As-Saaffat 37:77 وجعلنا ذريته هم الباقين ٧٧
وَجَعَلۡنَا
ذُرِّيَّتَهُۥ
هُمُ
ٱلۡبَاقِينَ
٧٧
Na tuliwajaalia dhuriya zake ndio wenye kubakia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tukawafanya watoto wa Nūḥ ndio wenye kusalia baada ya kuzamishwa watu wake.