As-Saaffat 37:79 سلام على نوح في العالمين ٧٩
سَلَٰمٌ
عَلَىٰ
نُوحٖ
فِي
ٱلۡعَٰلَمِينَ
٧٩
Iwe salama kwa Nuhu ulimwenguni kote! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Amani imfikie Nūḥ na asalimike na kutajwa kwa ubaya katika kipindi cha watu wa mwisho, bali asifiwe na watu wa vizazi vinavyokuja baada yake.