As-Saaffat 37:83 ۞ وان من شيعته لابراهيم ٨٣
۞ وَإِنَّ
مِن
شِيعَتِهِۦ
لَإِبۡرَٰهِيمَ
٨٣
Na hakika Ibrahim alikuwa katika kundi lake, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na miongoni mwa waliokuwa katika nyendo za Nūḥ, njia yake na mila yake ni Nabii wa Mwenyezi Mungu Ibrāhīm,