As-Saaffat 37:86 ايفكا الهة دون الله تريدون ٨٦
أَئِفۡكًا
ءَالِهَةٗ
دُونَ
ٱللَّهِ
تُرِيدُونَ
٨٦
Kwa kuzua tu mnataka miungu mingine badala ya Mwenyezi Mungu? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Je, mnataka kuabudu waungu wa kuzuliwa na mnaacha kumuabudu Mwenyezi Mungu Anayestahiki kuabudiwa Peke Yake?