As-Saaffat 37:88 فنظر نظرة في النجوم ٨٨
فَنَظَرَ
نَظۡرَةٗ
فِي
ٱلنُّجُومِ
٨٨
Kisha akapiga jicho kutazama nyota. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Akatazama mtazamo mmoja kwenye nyota kulingana na mila ya watu wake kuhusu hilo, huku akifikiria udhuru wa kuutoa ili asipate kutoka na wao kwenda kwenye sherehe zao,
Akatazama mtazamo mmoja kwenye nyota kulingana na mila ya watu wake kuhusu hilo, huku akifikiria udhuru wa kuutoa ili asipate kutoka na wao kwenda kwe…