Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: As-Saaffat 37:95

37:95
قال اتعبدون ما تنحتون ٩٥
قَالَ أَتَعْبُدُونَ مَا تَنْحِتُونَ ٩٥
قَالَ
أَتَعۡبُدُونَ
مَا
تَنۡحِتُونَ
٩٥
Akasema: Hivyo mnaviabudu vitu mnavyo vichonga wenyewe 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Ibrāhīm akakutana na wao akiwa imara kwa kusema, «Vipi mtaabudu masanamu mnaowachonga nyinyi wenyewe na mnaowatengeneza kwa mikono yenu,