Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha
037

As-Saaffat 37:97 قالوا ابنوا له بنيانا فالقوه في الجحيم ٩٧

37:97
قَالُواْ
ٱبۡنُواْ
لَهُۥ
بُنۡيَٰنٗا
فَأَلۡقُوهُ
فِي
ٱلۡجَحِيمِ
٩٧
Wakasema: Mjengeeni jengo, na kisha mtupeni motoni humo! 1
Endelea Kusoma

Soma Tafsir

Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Hoja ilipowasimamia, waliamua kutumia nguvu na wakasema, «Jengeni jengo kwa ajili yake, mlijaze kuni kisha mumtupe ndani yake»
Zaidi Tafsir

Soma Maudhui Yanayohusiana

Sura 37, Ukurasa 449, Juzuu 23

83. Na hakika Ibrahim alikuwa katika kundi lake, 84. Alipo mjia Mola wake Mlezi kwa moyo mzima. 85. Alimwambia baba yake na watu wake: Mnaabudu nini? 86. Kwa kuzua tu mnataka miungu mingine badala ya Mwenyezi Mungu? 87. Mnamdhania nini Mola Mlezi wa walimwengu wote? 88. Kisha akapiga jicho kutazama nyota. 89. Akasema: Hakika mimi ni mgonjwa! 90. Nao wakamwacha, wakampa kisogo. 91. Basi akaiendea miungu yao kwa siri, akaiambia: Mbona hamli? 92. Mna nini hata hamsemi? 93. Kisha akaigeukia kuipiga kwa mkono wa kulia. 94. Basi wakamjia upesi upesi. 95. Akasema: Hivyo mnaviabudu vitu mnavyo vichonga wenyewe 96. Na hali Mwenyezi Mungu ndiye aliye kuumbeni nyinyi na hivyo mnavyo vifanya! 97. Wakasema: Mjengeeni jengo, na kisha mtupeni motoni humo! 98. Basi walitaka kumfanyia vitimbi, lakini tukawafanya wao ndio wa chini.

- Swahili Translation - Ali Muhsin Al-Barwani

Maelezo na Tafakari

Hakuna tafakari zilizokaguliwa kwa aya hii

Notes placeholders

Endelea Kuungana na Qur'ani ❤️

Vikumbusho vifupi vyenye maana vinavyoweka upya maisha yako, kukusaidia kutafakari na kuendelea kushikamana na Qur'ani.

Soma, Sikiliza, Tafuta, na Tafakari Qur'ani

Quran.com ni jukwaa linaloaminika na linalotumiwa na mamilioni duniani kote kusoma, kutafuta, kusikiliza na kutafakari kuhusu Qur'ani katika lugha tofauti. Inatoa huduma za tarjuma, tafsiri, vikariri, tarjuma ya neno kwa neno, na zana za ufahamu wa kina, kuifanya Qur'ani ipatikane na kila mtu.

Kama mbinu ya Sadaqah Jariyah, Quran.com imejitolea kusaidia watu kuunganishwa kwa kina na Qur'ani. Ikiungwa mkono na Quran.Foundation , shirika lisilo la faida la 501(c)(3), Quran.com inaendelea kukua kama rasilimali ya bila malipo na yenye thamani kwa wote, Alhamdulillah.

Chunguza
Nyumbani
Redio ya Qur'ani
Wasomaji
Kutuhusu
Watengenezaji
Sasisho za Bidhaa
Maoni
Msaada
Changia
Miradi Yetu
Quran.com
Quran For Android
Quran iOS
QuranReflect.com
Quran.AI
Sunnah.com
Nuqayah.com
Legacy.Quran.com
Corpus.Quran.com
Miradi isiyo ya faida inayomilikiwa, kusimamiwa, au kufadhiliwa na Quran.Foundation
Viungo Maarufu
Dua kutoka Quran
Aya ya Quran ya Siku
Ayatul Kursi
Yaseen
Al Mulk
Ar-Rahman
Al Waqi'ah
Al Kahf
Al Muzzammil
Ramani ya tovutiFaraghaSheria na Masharti
© 2026 Quran.com. Haki Zote Zimehifadhiwa
Changia