As-Sajdah 32:8 ثم جعل نسله من سلالة من ماء مهين ٨
ثُمَّ
جَعَلَ
نَسۡلَهُۥ
مِن
سُلَٰلَةٖ
مِّن
مَّآءٖ
مَّهِينٖ
٨
Na kisha akajaalia uzao wake utokane na kizazi cha maji madhaifu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kisha Akavifanya vizazi vya Ādam vizalikane na tone dhaifu lililo dogo na twevu.