Ash-Shams 91:7 ونفس وما سواها ٧
وَنَفۡسٖ
وَمَا
سَوَّىٰهَا
٧
Na kwa nafsi na kwa aliye itengeneza! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwa kila nafsi na namna Mwenyezi Mungu alivyoikamilisha umbo lake ili itekeleze kazi iliyoumbiwa nayo.